TANGAZO
Diamond Platnumz anazidi kuthibitisha nguvu aliyonayo. Ni siku 12 tu tangu aachie video ya wimbo wake ‘Nana’ aliomshirikisha Flavour, lakini tayari imepata views zaidi ya milioni kwenye Youtube.
Hadi Jumatano hii, Nana imefikisha views 1,013,350 (views zinaongezeka kwa kasi).
Hadi Jumatano hii, Nana imefikisha views 1,013,350 (views zinaongezeka kwa kasi).
- “One million Plus Views on Youtube! In just 10 days…kwakweli nawashkuru sana kwa Mapenzi yenu emoji.. OyA! #Sankoro Kama Ronaldo,” ameandika Diamond kwenye Instagram kusherehekea mafanikio hayo.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq
Post a Comment