TANGAZO
Leo Mrembo Faiza Ally Ameibuka tena na Kuongelea issue ya Kunyang'anywa mtoto na Mh Sugu Kupitia Mahakama...

Ameandika hivi katika Page yake ya Instagram:

NASITIKISHWA SANA NA MANENO YENU MAKALI HASA NYINYI MNAO SAMBAZA KASHFA JUU YANGU KUHUSU MAVAZI YANGU- HAKUNA HIYO SHERIA TANZANIA INAYOSEMA NIPOKONYWE MTOTO KUHUSU MAVAZI YANGU- NIMEKATA RUFAA NA NAWAHAKIKISHIA NITASHINDA KESI NA NITAMLEA MWANANGU NA NITAVAA MAVAZI YANGU NA NITA ENJOY MAISHA YANGU/ NINA MWANASHERIA MAKINI ALIESOMEA SHERIA NA SISI NYINYI MNAO NIPA HUKUMU HUMU NDANI NA KWINGINE! PAMOJA NA MAVAZI YANGU MIMI NI MAMA BORA! MNAJUA UPANDE WANGU LKN HAMJUI UPANDE WA SUGU NA HAKIKA MENGI MTAYAJUA KUPITIA KESI HII/ MAVAZI YANGU NAYAPENDA NA KWA MUJIBU WA SHERIA SI KITU KINACHO NIFANYE NI POKONYE MTOTO WANGU- MANENO YENU MACHAFU DHIDI YANGU YANANIUMA SANA LAKINI KAMWE HAYATA NIRUDISHA NYUMA KATIKA KUTETEA HAKI YANGU! NAMJUA SUGU NA NA NINAJIUA MM KTK UBORA WANGU KATIKA MALEZI YA MWANANGU/ MM NI MAMA NA SI MAMA TU NI MAMA BORA KWA SASHA NA ANANIHITAJI NA SITAMUACHA NA NYINYI WAJINGA WACHACHE ENDELEENI KUNIPONDA NA KUONA NA STAHILI KUPATA PIGO HILI NA SI WOTE- KUNA WENGINE WEMA KWA UPANDE WANGU NA WASHUKURU NA NINA WAAHIDI SITAWARUDISHA NYUMA NITASIMAMA MPAKA KIELEWEKE- SASA HIVI NI JASIRI KUPITA MAELEZO ��.....IN GOD WE TRUST INSHAALLAH....Faiza Ally


Je wewe unakabiliwa na changamoto ya kipato kama nilivyo nayo mimi??..basi kama ndiyo njoo nikuonyesha njia ya kukuza kipato hicho pamoja na kutekeleza malengo yako...nipigie 0784 778788

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

Post a Comment



 
Top