TANGAZO
Mrembo na Mwanamuziki Jokate Amejibu Swali ambalo wengi walikuwa wanapenda kusikia kama kweli yeye na Ali Kiba ni Wapenzi ama ni Project tu....Katika Mohojiano na Gazeti la Champion jokate amejibu hivi:

Wewe na Ali Kiba mna uhusiano gani?

  • Tuna uhusiano mzuri sana kwenye kazi kiasi kwamba anaweza kunishauri mahali ambapo ninakwenda ndivyo sivyo, mimi pia hufanya hivyo pindi anapohitaji ushauri, kwenye maisha binafsi mimi na Ali Kiba ni washikaji wakubwa tena sana na siyo kimapenzi kama watu wengi ambavyo wamekuwa wakizungumza vitu ambavyo havina ukweli wowote. 

Je wewe unakabiliwa na changamoto ya kipato kama nilivyo nayo mimi??..basi kama ndiyo njoo nikuonyesha njia ya kukuza kipato hicho pamoja na kutekeleza malengo yako...nipigie 0784 778788

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

Post a Comment



 
Top