TANGAZO
Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50
Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones.

Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea ‘Chibu Beats.’ Staa huyo ametangaza hatua hiyo kubwa wakati akimpongeza Flaviana Matata katika birthday yake. “Kama hauna taarifa bado huyu ndio aliyefanya Account yangu ya Facebook kuwa Verified,” ameandika Diamond. “Na huyu huyu pia ndiYe aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #HeadPhones & 

Je wewe unakabiliwa na changamoto ya kipato kama nilivyo nayo mimi??..basi kama ndiyo njoo nikuonyesha njia ya kukuza kipato hicho pamoja na kutekeleza malengo yako...nipigie 0784 778788

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

Post a Comment



 
Top